info@hazinasaccos.co.tz +255 710 933 944
English | Swahili
Contact Us
emblem

HAZINA SACCOS

HAZINA SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LTD
CHAMA CHA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO CHA HAZINA
hazina Logo
  • Kuhusu Sisi
    Historia Dira, Dhamira & Maadili Ukuaji
  • Uongozi
    Muundo Wajumbe wa Board Menegementi Kamati Ya Usimamizi Watendaji
  • Huduma Zetu
    Akiba Hisa Amana Mikopo Historia
  • Habari & Matukio
    Habari Matukio Video Maswali ya Wateja
  • Mifumo
    Portal Yetu Staff Mail
  • Nakala
  • Wasiliana Nasi
  1. Savings
Dira
Kulinda misingi ya ushirika kwa kutoa huduma zinazokidhi mahitaji na changamoto za Wanachama kwa wakati na gharama nafuu.

Dhamira

Kuwa Ushirika wa fedha wenye nguvu kwa kukidhi mahitaji ya wanachama kwa huduma na mazao bora.

MAADILI YA HAZINA SACCOS LIMITED
1.  Uadilifu na uaminifu
2.  Kutoa Huduma nzuri na zenye ubora kwa wanachama
3.  Umoja na ushirikiano
4.  Kubuni,kuboresha na kutoa huduma na bidhaa bora kwa wanachama
5.  Haki na usawa katika kuwahudumia wanachama
6.  Kupiga vita rushwa kwa nguvu zote
7.  Kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii
8.  Kuendesha SACCOS Kwa misingi ya uwazi na uwajibikaji
9.  Kuheshimu usawa wa jinsia katika uongozi wa SACCOS.

Hazina Saccos

Chama cha ushirika wa akiba na mikopo kilichopo Tanzania, kinachotoa huduma za kifedha kwa wanachama wake ili kuwasaidia kujiimarisha kiuchumi.

Viungo Muhimu

  • Kuhusu Sisi
  • Huduma zetu
  • Uongozi
  • Wasiliana Nasi

Msaada

  • Sera ya Faragha
  • Vigezo & Masharti
  • Msaada
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Usaidizi

Wasiliana Nasi

  • Madaraka Avenue, Kivukoni, Tanzania
  • info@hazinasaccos.co.tz
  • +255 710 933 944

© 2025 Hazina SACCOS. Haki zote zimehifadhiwa.