info@hazinasaccos.co.tz +255 710 933 944
English | Swahili
Contact Us
emblem

HAZINA SACCOS

HAZINA SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LTD
CHAMA CHA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO CHA HAZINA
hazina Logo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira, Dhamira & Maadili
    • Ukuaji
  • Uongozi
    • Muundo
    • Wajumbe wa Board
    • Managementi
    • Kamati Ya Usimamizi
    • Watendaji
  • Huduma Zetu
    • Akiba
    • Hisa
    • Amana
    • Mikopo
    • Historia
  • Habari & Matukio
    • Habari
    • Matukio
    • Video
    • Maswali ya Wateja
  • Mifumo
    • Portal Yetu
    • Staff Mail
  • Nakala
  • Wasiliana Nasi
  1. Share
  1. Maana Ya Hisa
Sheria ya Ushirika na. 6 ya mwaka 2013 kupitia kifungu cha 41 inatambua uwepo wa Mwanachama (member) na Mteja (client), ikiwa mwanachama ni yule aliyenunua hisa ndani ya chama wakati mteja ni yule anayetumia huduma za akiba na amana ndani ya Chama. Hisa ni uwekezaji wa msingi kabisa kwa Mwanachama. Hisa humfanya mwanachama kuwa mmilikia halali wa SACCOS.

2. Aina Za Hisa
Kuna aina mbili za hisa ambazo mwanachama anaweza kuchangia ambazo ni;

  (a) Hisa Za Lazima
  (b) Hisa Za Ziada


Hisa za lazima ndiyo hisa za umiliki wa Chama, ni kiwango cha chini cha hisa ambazo kila mwanachama anatakiwa kumiliki ndani ya Chama. Hadi sasa hisa za msingi kwa HAZINA SACCOS Ltd ni kama ifuatavyo;
 
   (a)  Kiwango Cha Chini Cha Idadi Ya Hisa ni 25
   (b)  Thamani Ya Kila Hisa Ni Tsh 20, 000/=
   (c) Hivyo Kiwango Cha Chini Cha Thamani Ya Hisa Kwa Kila Mwanachama Ni Tsh 500, 000/=

Hisa za ziada ni zile ambazo mwanachama atachangia juu ya hisa za msingi. Aidha mwanachama anaweza kuchangia hisa za ziada mpaka 20% ya Hisa zote za Chama(Hazina Saccos Limited).

Hazina Saccos

Chama cha ushirika wa akiba na mikopo kilichopo Tanzania, kinachotoa huduma za kifedha kwa wanachama wake ili kuwasaidia kujiimarisha kiuchumi.

Viungo Muhimu

  • Kuhusu Sisi
  • Huduma zetu
  • Uongozi
  • Wasiliana Nasi

Msaada

  • Sera ya Faragha
  • Vigezo & Masharti
  • Msaada
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Usaidizi

Wasiliana Nasi

  • Madaraka Avenue, Kivukoni, Tanzania
  • info@hazinasaccos.co.tz
  • +255 710 933 944

© 2026 Hazina SACCOS. Haki zote zimehifadhiwa.