Habari Zetu
Habari zinazopatikana kwenye SACCOS yetu ni muhimu kwa wanachama wetu. Jiunge nasi ili upate taarifa za maendeleo na fursa zinazowezesha ustawi wa kifedha.
1. WATENDAJI AGM 2025
Pichani ni watendaji wa Hazina SACCOS katika mkutano mkuu wa mwaka 2025 uliofanyika mkoani Arusha Katika ukumbi wa AICC
2. Mwanachama atoa pongezi kwa Huduma bora za watendaji
Katika jitihada za kuthamini na kuhamasisha juhudi za wafanyakazi, Hazina SACCOS katika mkutano mkuu wake wa mwaka 2024...
3. AGM 2025
Pichani ni Watendaji na wawakilishi wa viongozi katika mkutano wa AGM 2025 mkoani Arusha katika ukumbi wa AICC
4. SGR TRIP NA WAWAKILISHI WA WANACHAMA
Pichani ni Baadhi ya Wawakilishi wa wanachama njiani kuelekea katika mkutano mkuu wa mwaka 2024
5. Mwenyekiti mstaafu akimkabidhi GAVANA wa BOT zawadi ya shukrani
Mwenyekiti mstaafu akimkabidhi GAVANA wa BOT zawadi ya shukrani katika mkutano mkuu wa mwaka 2023
Jiunge na Habari Zetu
Pata taarifa za hivi karibuni kuhusu mikopo, akiba, na huduma nyingine muhimu.