
Mwenyekiti akisoma hotuba AGM 2024
Iliyo chapishwa: 15 Oct, 2024
Pichani ni Mwenyekiti wa Chama akisoma hotuba katika mkutano mkuu wa mwaka 2024 uliofanyika mkoani Dodoma katika ukumbi wa kambarage ulioko ndani ya jengo la Treasury Square.