info@hazinasaccos.co.tz +255 710 933 944
English | Swahili
Contact Us
emblem

HAZINA SACCOS

HAZINA SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LTD
CHAMA CHA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO CHA HAZINA
hazina Logo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira, Dhamira & Maadili
    • Ukuaji
  • Uongozi
    • Muundo
    • Wajumbe wa Board
    • Managementi
    • Kamati Ya Usimamizi
    • Watendaji
  • Huduma Zetu
    • Akiba
    • Hisa
    • Amana
    • Mikopo
  • Habari & Matukio
    • Habari
    • Matukio
    • Video
    • Maswali ya Wateja
  • Mifumo
    • Portal Yetu
    • Staff Mail
  • Nakala
  • Wasiliana Nasi
  1. Wasiliana Nasi
Hazina SACCOS yakabidhi risiti ya malipo ya kiti cha walemavu kwa Mwanachama wao mwenye ulemavu.

Hazina SACCOS yakabidhi risiti ya malipo ya kiti cha walemavu kwa Mwanachama wao mwenye ulemavu.

Iliyo chapishwa: 09 Oct, 2026

Hazina SACCOS imekabidhi risiti ya malipo ya kiti cha magurudumu kwa mwanachama wake mwenye ulemavu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ustawi wa wanachama na kuendeleza Nguzo ya Saba ya Ushirika: Kujali Jamii.Hatua hii inaonesha dhamira ya Hazina SACCOS ya kuthamini utu, kujali mahitaji ya wanachama na kuimarisha mshikamano katika jamii.

Huduma bora, kwa wakati na riba nafuu.
Kurudi Habari Zote

Hazina Saccos

Chama cha ushirika wa akiba na mikopo kilichopo Tanzania, kinachotoa huduma za kifedha kwa wanachama wake ili kuwasaidia kujiimarisha kiuchumi.

Viungo Muhimu

  • Kuhusu Sisi
  • Huduma zetu
  • Uongozi
  • Wasiliana Nasi

Msaada

  • Sera ya Faragha
  • Vigezo & Masharti
  • Msaada
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Usaidizi

Wasiliana Nasi

  • Madaraka Avenue, Kivukoni, Tanzania
  • info@hazinasaccos.co.tz
  • +255 710 933 944

© 2026 Hazina SACCOS. Haki zote zimehifadhiwa.