IDARA YA UHASIBU
Iliyo chapishwa: 09 Oct, 2026
Idara ya Uhasibu ina jukumu la kusimamia kumbukumbu za fedha, mapato na matumizi, pamoja na kuhakikisha miamala ya kifedha inarekodiwa kwa usahihi na uwazi. Kupitia usimamizi madhubuti wa fedha, idara hii inachangia katika kuimarisha uwajibikaji na maendeleo endelevu ya Hazina SACCOS.