Akiba na Amana
Wanachama
Mikopo
Rasilimali za chama
Aina Za Mikopo
Chagua aina ya mkopo unaofaa mahitaji yako
Kiwango cha mkopo huu ni kuanzia Tsh 300,000/= hadi Tsh.1,000,000 bila riba. Muda wa marejesho ni siku 30, mkopo huu hutolewa ndani ya masaa 24 baada ya kukamilisha taratiu za maombi.
Kiwango cha juu cha mkopo huu ni Tsh 5,000,000/= na kutoza riba 1.5% kwa mwezi. Muda wa juu wa marejesho ni miezi 12, mkopo huu hutolewa ndani ya masaa 24 baada ya kukamilisha taratibu za maombi.
Kiwango cha juu cha mkopo huu ni mara tatu (3) ya akiba za mwanachama na kutoza riba ya 0.84%. Muda wa kurejesha mkopo huu ni miezi 12 – 60. Hutolewa mwishoni mwa mwezi na fomu hupokelewa kuanzia tarehe 1-20 ya kila mwezi.
Kiwango cha juu cha mkopo huu ni Tsh 5,000,000/= na kutoza riba ya 0.42%. Muda wa kurejesha mkopo ni miezi 24. Fomu hupokelewa kuanzia tarehe 1 – 20 ya kila mwezi.
Kiwango cha juu cha mkopo huu ni mara tatu (3) ya akiba za mwanachama na kutoza riba ya 0.84% kwa mwezi. Muda wa kurejesha mkopo huu ni miezi 12 – 60. Fomu hupokelewa kuanzia tarehe 1-20 ya kila mwezi.
Hutegemea na taratibu zitakazowekwa na chama kwa wakati huo.
Habari Za Hivi Karibuni
Video za hivi Karibuni
Video zetu za hivi karibuni
FURSA YA UWEKEZAJI NJEDENGWA
HAZINA SACCOS YATOA MSAADA WA VITI KIGOGO SEKONDARI
MASHINDANO YA HAZINA SACCOS CLUB
Wadau Wetu